SHEMEJI MONICA 09

Share:

                                          


Wakati akiendelea Julieth akafungua kifungo cha sketi yake na kuishusha mpaka chini, James akamsaidia kumvua kufuli yake,kisha Julieth akajilaza chali pale kwenye godoro,James akavua suruali yake halaka na kuutoa mnara wake ambao network yake ilikuwa juu sana, akawa anaushikashika kuuandaa kwa vita iliyokuwa mbele yake. James alikuwa amepagawa sana hata kusahau kuwa Julieth alikuwa ni bikira, akawa anamsogelea ile kuendeleza walichokianzisha. Julieth alikuwa akitetemeka pale alipokuwa amelala, uzito wa mashine ya James ulikuwa umemuogopesha sana na alihisi shughuli ile ingekuwa yenye madhara makubwa.

James akawa amemfikia Julieth ambaye alikuwa ameziba uso wake kwa kiganja cha mkono kutokana na aibu na uoga ambao ulikuwa umemtawala, alitaka sana kula kile chakula walichokiandaa lakini alikuwa anaogopa mno, alikwisha sikia habari za maumivu yanayotoke siku ya kwanza ya kitendo, muonekano wa ule mzigo wa James pia ulimtisha na kumpotezea ujasiri ambao siku zote alikuwanao akiamini ni lazima siku moja akubali kuumia ili maumivu hayo yaondoke milele. James akamtanua miguu ambayo alikuwa ameikusanya pamoja, akawa anaiona mali vizuri kabisa mbele yake, akauchukua mtalimbo wake na kuanza kuupeleka chumvini lakini mara Julieth akabana miguu yake tena, baby naogopa, tuache tu alisema Julieth kwa sauti ambayo ilionesha kuwa alikaribia kulia. noo baby, ukiogopa leo hakuna siku ambayo utaacha kuogopa, hata haiumi, naingiza polepole alishawishi James kwa sauti ya kubembeleza, lakini bado haikusaidia, uoga wa Julieth bado ulikuwa juu kuliko matamanio yake ya kukifanya kitendo kile, akaibana zaidi miguu yake hata James hakuweza kuiachanisha tena. huniamini baby? Naomba uniamini, sito kuumiza, hebu niangalie alsema James huku akimtoa Julieth kile kiganja alichofunikia uso ili waweze kuonana macho kwa macho, akashangaa kukuta mchozi ya Julith yalikuwa yamefika mashavuni, hata mzuka wa kitendo ukakata hapohapo, alijiona kama alikuwa anambaka. James akaacha kile alicchokuwa anajaribu kukifanya na kulala chali pembeni ya Julieth ambaye sasa kulia kuliongezeka, baby nisamehe mi naogopa bwana alijitetea Julieth kwa sauti yenye kilio ndani yake. usijali mpenzi, mimi nipo kwaajili yako, siku ukiwa tayari tutafanya alisema James huku akimkumbatia Julieth kumfariji. hapana mpenzi, najua nimekuangusha sana na nimekuudhi ila ‘I swear’ nilikuwa na nia ya kufanya aliendelea kujitetea Julieth ambaye alijihisi alikuwa mkosaji kwelikweli, James akaamua kutosema neno bali kumkubatia kisawasawa akiendelea kumfariji.

Baada ya dakika 5 wakawa kimya, hakuna ambaye alikuwa na lakusema kwa mwenzie, wakaendelea tu kulala wakiwa wamekumbatiana mpaka James alipogundua kuwa Julieth alikuwa amelala, akaamka polepole kukwepa kumuamsha, akatoka nje.

Julieth hakuchukua muda kuamka, akashangaa kutomkuta James, akachukua simu yake kutaka kumpigia lakini akaiona simu ya James ambayo aliiacha pale ndani hivyo akasitisha lile zoezi na kuamua kumngoja mpaka hapo atakaporudi. Akiwa katika kungojea akasiki mtetemo wa simu ya James ikiita, akaamua kuipuuza kwakuwa haikuwa yake lakini akajiambia huenda James ametaka kuwasiliana na yeye akajikuta amesahau simu na kuamua kuamua kumtafuta kupitia simu ile kwakuwa namba yake hana, akaiichukua simu ile na kuangalia nani alikuwa anapiga, jina lilisomeka Shemeji Monica, akajishauri kwa sekunde kadhaa kisha akaamua kuipokea, samahani, James ametoka kidogo alisema Julieth baada ya kupokea simu hiyo. Monica akashangaa kuona simu imepokelewa na mwanamke na kuambiwa James ametoka, yeye alijua James alikuwa kazini, sasa anatoka kwenda wapi na anaachaje simu yake nyuma Akajiuliza na kujijibu kuwa James hakuwa kazini, wivu ukampanda, ameenda wap? aliuliza Monica. hata sijui, ametoka tu nje alijibu Julieth ambaye naye alianza kupata wasiwasi juu ya huyu Shemeji Monica. kwani wewe ni nani? aliuliza Monica. mimi ni rafiki yake akajibu Julieth, jibu ambalo liliibua maswali zaidi kwa Monica. mko wapi kwani? aliuliza Monica swali ambao lilimkera Julieth akataka kukata ile simu, mara akaona mlango unafunguliwa na James anaingia akiwa amebeba makolokolo kibao. afadhali mwenyewe huyo amefika alisema Julieth na kumkabidhi simu James. nani? aliuliza James huku akiangalia kwenye kioo cha simu na kugundua alikuwa nani. haloo aliita James. uko wapi? hilo ndilo lilikuwa swali la kwanza la Monica. bado niko mjini alijibu kihuni James akijua fika jibu lile lilikuwa halitoshelezi matakwa ya muulizaji. utarudi saa ngapi? aliuliza tena Monica ambaye sasa lionekana kama msumbufu, ila James alifanikiwa kumvumilia na kuendelea kumjibu kwa upole, bado sijajua nitarudi saa ngapi kwakweli’. chakula tukuachie au leo tena unakula huko? aliuliza Monica. usiniwekee chakula leo kuna mahali niakula akajibu kwa kifupi James, kisha akasikia simu ikikatwa upande wa pili. nani huyo? aliuliza Julieth. mke wa kaka yangu, hapo ninapoishi, ana tabu kweli ndo maana nataka kuhama alijibu James. haya nimeleta jiko hapo, mafuta ya taa, mafuta ya kupikia,mchele, kitoweo na viungo, nataka unipikie alisema James akimuonesha Julieh vitu alivyokuwa amekwenda kununu, Julieth akagundua haraka kuwa hii ilikuwa mbinu ya James kutafuta kitu cha kufanya ili kuimlizia siku iliyobaki baada ya kile ambacho walitaka kukifanya kushindikana. mimi sitaki kupika wala kitu kingine chochote, nakutaka wewe tu alisema Julieth na James akaelewa nini alimaanisha ila alimatamani Julieth aachane tu na jambo lile maana hakukuwa na raha yoyote kwenye kulifanya. watu wasiojua kupika utawajua tu hawakosagi visingizio alisema James. kupika najua sana, ila leo sio siku yake, si unajua muda wangu ni mdogo? alielezea Julieth na kumfanya James aangalie saa yake na kugundua kweli muda ulikuwa umebaki mdogo sana kwa Julieth kuendelea kubaki pale, maana balaa la mama yake analijua na bila shaka ataliamsha kama Julieth atachelewa kurudi nyumbani. sasa unataka nini? Nambie nipo hapa

No comments